Maafisa wa Japani wamesisitiza kuwa maji yaliyotibiwa na kuzimuliwa ambayo yamemwagwa baharini kutoka kwenye mtambo wa umeme wa nyuklia ulioharibika wa Fukushima Namba Moja ni salama. Wamesisitiza ...
Kampuni ya Umeme ya Tokyo, au TEPCO inayoendesha mtambo wa umeme wa nyuklia wa Fukushima Namba Moja, inapanga kuanzisha uchunguzi wa ndani ya chombo cha shinikizo cha moja ya vinu baadaye mwaka huu.